Bondia Phil Williams wa marekani akiwa katika picha ya pamoja
na wadau wa mchezo huo kushoto ni promota Jay Msangi kulia
ni Kocha wa kimataifa wa mchezo wa ngumi Rajabu Mhamila
'Super D wengine ni wadau waliokuja kulaki uwanja wa ndege
baada ya kutua.
|
Bondia Phil Williams wa marekani akiwa na mkanda wake wa ubingwa wa WBU |
Bondia Phil Williams wa Marekani. Picha zote na www.superdboxingcoach. |
Comments