
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akisalimiana na wanawake wa Makambako baada ya kuwasili kwenye mji mdogo huo akiambatana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 10,2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (wapili kulia) wakikagua shamba la nanasi la Katibu Mkuu kiongozi Mstaafu, Philemon Luhanjo (kulia) katika kijiji cha Madeke wilayani Makambako wakiwa katika ziara ya Mkoa wa Njombe Julai 10,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)





No comments:
Post a Comment