Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo toka kwa Afisa Mtendaji
Mkuu wa benki ya Maendeleo ya TIB, Bw Peter Noni, Ikulu jijini
Dar es salaam Julai 13, 2013. Bw. Noni na ujumbe wake walifika Ikulu
kumwelezea Rais Kikwete mipango na mikakati kabambe ya kuijenga
upya benki hiyo iliyokuwa ikijulikana kama Tanzania Investment Bank
(Benki ya Rasilimali Tanzania) ikiwa ni pamoja na miundo mbinu na
upanuzi wa wigo wa biashara.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Afisa Mtendaji
Mkuu wa benki ya Maendeleo ya TIB, Bw Peter Noni, Ikulu jijini
Dar es salaam Julai 13, 2013. Bw. Noni na ujumbe wake walifika
Ikulu kumwelezea Rais Kikwete mipango na mikakati kabambe
ya kuijenga upya benki hiyo iliyokuwa ikijulikana kama Tanzania
Investment Bank (Benki ya Rasilimali Tanzania) ikiwa ni pamoja na
miundo mbinu na upanuzi wa wigo wa biashara.Picha na IKULU
Comments