Kaimu Meneja Wa Shirika la Nyumba la Taifa mkoa wa Dodoma, Hassan Bendera akijadili jambo na wenzake kwenye ziara ya siku moja iliyofanyika kwenye mradi huo.
Kwa mbali inaonekana misingi ya majengo ya nyumba za gharama nafuu ya Shirika la Nyumba la Taifa Kongwa ikiwa katika hatua mbalimbali hivi karibuni. Utakapokamilika mradi huu utakuwa na nyumba utakuwa na nyumba zaidi ya 50.
Injinia Hassan Mohammed (wa tatu kushoto) akijadili jambo baada ya kupita kukagua mradi huo wa ujenzi wa nyumba za gharama nafuu Kongwa. Wa tatu kutoka kulia ni Bw. Ndega kutoka Veta.
Sehemu ya msingi wa nyumba za gharama nafuu Kongwa.
Comments