
Mkuu wa Elimu Expo, Joel Njama (kulia) na Mkuu wa Idara ya
Masoko na Mawasiliano wa Vodacom, Kelvin Twissa, wakigonganisha glasi,
kama ishara ya uzinduzi wa maonyesho hayo, wakati wa mkutano
na waandishi wa habari uliofanyika Hoteli ya Serena jijini
Mkurugenzi Mkuu wa Elimu Expo, Joel Njama (kulia) akizungumza
na waandishi wa habari wakati wa mkutano huo , Katikati ni
Naibu Waziri wa Elimu, Phillip Mulugo, na Mkuu wa Idara ya Masoko
na Mawasiliano wa Vodacom, Kelvin Twissa.
Twissa, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa
mkutano huo , Katikati ni Naibu Waziri wa Elimu,
Phillip Mulugo, na Mkurugenzi Mkuu
Sehemu ya waandishi wa habari, waliohudhuria mkutano huo.PICHA NA SUFIANIMAFOTO.
No comments:
Post a Comment