Wednesday, July 03, 2013

Rais Wa Marekani Barack Obama na Rais Kikwete Watembelea Mradi wa Umeme wa Symbion Ubungo Jijini Dar es Salaam


 Rais Barrack Obama wa Marekani na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete  wakizungumza na watendaji wa kuu wa sekta ya umeme nchini. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mr.Maswi,mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Sadik Meck Sadik na watatu kushoto ni Waziri wa Nishati na Madini Profesa  Sospeter  Muhongo wakati kiongozi huyo wa Marekani alipotembelea mradi wa kuzalisha umeme unaofanywa na kampuni ya Symbion power ya Marekani huko Ubungo jijini Dar es Salaam 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mwenyeji wake Rais Barrack Obama wa Marekani wakipata maelezo juu ya kituo cha uzalishaji wa Umeme Ubungo kinachoendeshwa na kampuni ya symbion power wakati viongozi hao walipofanya ziara katika kituo hicho jana asubuhi.Watatu kushoto ni Mkurugenzi mkuu wa Kampuni ya Symbion Power Bwana Paul Hinks.Picha na IKULU

No comments: