Omukama Kikwete akihutubia wananchi Missenyi
Rais Jakaya Kikwete baada ya kutawazwa kuwa Omukama (Chifu) wa Missenyi wakati wa ziara yake ya siku sita mkoani Kagera akiwa na kiongozi wa wazee wa Missenyi, Mzee Ernest Babeiya.
Rais Jakaya Kikwete akitawazwa kuwa Omukama (Chifu) wa Missenyi wakati wa ziara yake ya siku sita mkoani Kagera. Anayemsimika ni kiongozi wa wazee wa Missenyi, Mzee Ernest Babeiya.
Rais Jakaya Kikwete akitawazwa kuwa Omukama (Chifu) wa Missenyi wakati wa ziara yake ya siku sita mkoani Kagera. Anayemsimika ni kiongozi wa wazee wa Missenyi, Mzee Ernest Babeiya.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia maelefu ya wananchi wa mkoa wa Kagera waliofurika katika uwanja wa michezo wa Kaitaba kumsikiliza siku ya mwisho ya ziara yake ya siku sita mkoani humo.Picha na IKULU
Comments
akabndwa owa Kuba Omukama omuliBuziba. Yaani tukose Omukama aje mkwere awe Omukama??
Ok shughuli za Huyu Omukama nizipi katika Obuziba?? Omukama huwa ni mmoja ebikaale kiba kimo kwahiyo ebikaale ekya Kikwete kibankai??