WAZIRI DK. NCHIMBI AFUNGA KONGAMANO LA AMANI NA USALAMA WA TAIFA KWA MIAKA 50 IJAYO, CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM

PIX 1.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kushoto) akiandika maelezo ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Wilbrod Slaa wakati alipokuwa anachangia mada ya  Mustakabali wa Amani na Usalama wa Taifa kwa miaka 50 ijayo. Waziri Nchimbi licha ya kuzijibu hoja mbalimbali katika kongamano hilo lililofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Nkrumah, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, alisisitiza kuwa, watakaotaka kufanya maandamano ya aina yoyote ile nchini ni lazima wafuate sheria. Picha na Felix Mwagara. Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.  
 PIX 2
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akijibu hoja mbalimbali za washiriki katika Kongamano la Amani  na Usalama wa Taifa kwa miaka 50 ijayo. Waziri Nchimbi licha ya kuzijibu hoja mbalimbali katika kongamano hilo lililofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Nkrumah, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, alisisitiza kuwa, watakaotaka kufanya maandamano ya aina yoyote ile nchini ni lazima wafuate sheria.Picha na Felix Mwagara. Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. 

PIX 3

PIX 4
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kushoto) akisalimiana na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu baada ya kuzijibu hoja mbalimbali za washiriki katika Kongamano la Amani  na Usalama wa Taifa kwa miaka 50 ijayo. Waziri Nchimbi licha ya kuzijibu hoja mbalimbali katika kongamano hilo lililofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Nkrumah, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, alisisitiza kuwa, watakaotaka kufanya maandamano ya aina yoyote ile nchini ni lazima wafuate sheria.Picha na Felix Mwagara. Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. 
PIX 5
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (wapili kushoto) akifurahi jambo wakati alipokuwa akizungumza na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Wilbrod Slaa mara baada ya kufungwa kwa Kongamano la Amani  na Usalama wa Taifa kwa miaka 50 ijayo. Waziri Nchimbi licha ya kuzijibu hoja mbalimbali katika kongamano hilo lililofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Nkrumah, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, alisisitiza kuwa, watakaotaka kufanya maandamano ya aina yoyote ile nchini ni lazima wafuate sheria. Picha na Felix Mwagara. Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. 
 PICHA ZOTE NA FELIX MWAGARA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.

Comments