RAIS KIKWETE ATEMBELEA MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR


Rais Jakaya  Kikwete (kulia) akiangalia  mafuta ya ubuyu  na bidhaa zingine kwenye banda la  Mfuko wa Fursa Sawa Kwa wote (EOTF) kwenye Maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa  yanayoendelea katika viwanja  vya  Mwalimu  J. K Nyerere  jijini  Dares Salaam. Kutoka (kushoto)  wa pili ni Mwenyekiti wa EOTF Mama Anna Mkapa  (kushoto) ni Mkurugenzi  Mtendaji Stephen Emmanuel.
Rais Jakaya Kikwete (aliyenyoosha mkono) akitembelea  Maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa  yanayoendelea katika viwanja  vya  Mwalimu  J. K Nyerere  jijini  Dares Salaam. Kushoto kwake ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko, Dk. Abdallah Kigoda
Rais Jakaya  Kikwete (kulia) akiangalia  mafuta ya ubuyu  na bidhaa zingine kwenye banda la  Mfuko wa Fursa Sawa Kwa wote(EOTF) kwenye Maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa  yanayoendelea katika viwanja  vya  Mwalimu  J. K Nyerere  jijini  Dares Salaam. Kutoka (kushoto)  wa pili ni Mwenyekiti wa EOTF Mama Anna Mkapa  (kushoto) ni Mkurugenzi  Mtendaji Stephen Emmanuel.
Rais Jakaya Kikwete (aliyenyoosha mkono) akitembelea  Maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa  yanayoendelea katika viwanja  vya  Mwalimu  J. K Nyerere  jijini  Dares Salaam. Kushoto kwake ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko, Dk. Abdallah Kigoda.
Rais  Jakaya  Kikwete  akipata maelezo kutoka kwa  Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo  na Makazi (UNHABITAT) Phillemon  Mutashubirwa  kuhusu wanavyofanya kazi ya kusaidia watoto wa shule  na  wanawake kwenye Maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa  yanayoendelea katika viwanja  vya Mwalimu  J. K Nyerere  jijini  Dares Salaam.
(Picha na Ikulu)

Comments