MAMA SALMA KIKWETE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA MKE WA TONNY BLAIR MAMA CHERRIE BLAIR NA AFUTURISHA VIONGOZI NA WANAKIJIJI CHA HOYOYO
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo
,WAMA, Mama Salma Kikwete akifanya mazungumzo na Mama
Cherrie Blair, Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza walipokutana
kwenye ofisi za WAMA tarehe 23.7.2013 Mama Blair yupo nchini
akifuatana na mumewe Tonny Blair katika ziara ya kikazi.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na mgeni wake Mama
Cherrie
Blair wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa
Taasisi ya
Wanawake na Maendeleo, WAMA, mara baada ya kufanya
mazungumzo yao.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa nasaha zake baada
kuwafuturisha viongozi wa serikali, madhehebu ya dini wa wilaya ya
Mkuranga na wananchi wa kijiji cha Hoyoyo kilichoko karibu na Mkuranga
katika Mkoa wa Pwani tarehe 23.7.2013.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa nasaha zake baada
kuwafuturishaviongozi wa serikali, madhehebu ya dini wa wilaya
ya Mkuranga na wananchi wa kijiji cha Hoyoyo kilichoko karibu
na Mkuranga katika Mkoa wa Pwani tarehe 23.7.2013.
Sehemu ya viongozi wa serikali, madhehebu ya dini wa wilaya ya
Mkuranga na wananchi wa kijiji cha Hoyoyo kilichoko karibu na
Mkuranga katika Mkoa wa Pwani wakimsikiliza mke wa Rais Mama
Salma Kikwete(Hayupo Pichani)tarehe 23.7.2013.
Comments