Thursday, July 11, 2013

MTEJA WA AIRTEL TUMIA AIRTEL YATOSHA JUMBA HILOOO


Mwisho wa mwezi mwendo wa ku relax, kodi ya Nyumba hakuna tena, tumia AIRTEL YATOSHA ushinde Jumba kama hili na hii ni sehemu ya mbele tuu,Kelele za wapangaji tupa kuleee kwa sababu airtel YATOSHA ndo habari ya Tanzania,siku 20 tu mwenye nyumba ya kwanza ya YATOSHA hadharani, Hodi KIGAMBONI !!


Nyumba zote Tatu zinavyumba vitatu vyakulala, Sebule, Jiko na Public
toilet na Garden nzuriiiii/ kaliiiiii
Mwishoni mwa waki wadau wa vyombo vya habari na baadhi ya Blog
watatemebelea eneo hili kukujulisaha mambo mazuri zaidi
……………………………………………………………….
*       Kodi ya Nyumba kwaheriii, tumia AIRTEL YATOSHA ujishindie yako
*       Kelele za wapangaji tupa kuleee, Airtel Yatosha ndo habari ya Tanzania
*       Zimebaki siku 20 tu mwenye nyumba ya kwanza ya YATOSHA hadharani
Huu ndo mjumba wa kifahari utakaoshinda kupitia droo ya mwisho wa
mwezi Hii ni sehemu ya mbele ya Nyumba mojawapo ya AIRTEL YATOSHA
Nyumba hizi zimejengwa kwa mpangilio maalum  na wataalam  kutoka
shirika makini la nyumba Tanzania (National Housing Corporation)
Mahali iliko ni Kigamboni Kibada wilaya ya Temeke General View ukiwa
maeneo ya nyumba iliko Vitu vizuri unavyoweza kuviona ukiwa nyumbani
kwako endapo utaibuka mshindi ni pamoja na Uwanja wa Taifa, uwanja wa
ndege na utaweza kujione vizuri vikwangua anga vya jijini dar es
salaam kama vile PPF Tower, Uhuru height, Jubilee Tower, Serena Hotel
n.k Jiunge na kifurishi cha Airtel Yatosha SIKU, WIKI au MWEZI kwa
kupiga *149*99# na chagua kifurushi kitakachokufaa ili uwe mmoja wa
washindi watakaofaidika na nyumba hizi

No comments: