Rais Jakaya Kikwete Alivyomtambulisha Meya wa Ilala Mstahiki Jerry Slaa Kwa Rais wa Marekani Barack Obama

 


 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha kwa Rais Barrack Obama  wa Marekani Meya wa Ilala Mstahiki Jerry Slaa muda mfupi kabla ya kiongozi huyo wa taifa la Marekani kuondoka nchini baada ya kumaliza ziara ya kikazi ya siku mbili.Picha na Freddy Maro-IKULU

Comments