Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Kiongozi wa Kambi ya
Upinzani Bungeni (KUB), Freeman Mbowe akisalimiana na Naibu Waziri wa
Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole Medeye. Viongozi hao
walikutana juzi eneo la Bomang'ombe, wilayani Hai, kila mtu akiwa katika
ziara yake. Wakati Mbowe alikuwa anaendelea na ziara ya kuzungukia
wananchi latika vijiji mbalimbali jimboni kwake Hai, Medeye alikuwa
katika ziara yake binafsi maeneo ya jimbo hilo.Picha na Chadema
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
TANZANIA YAIPONGEZA NORWAY KWA KUENDELEA KUUNGA MKONO MAENDELEO
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, ameipongeza Serikali ya Ufalme wa Norway kwa ...

-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
Mwanamuziki toka Jamhuri ya KIdemokrasia ya Kongo, Mbilia Bel akitumbuiza katika viwanja vya bunge mjini Dodoma jana. Picha na Jube Tranquil...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
1 comment:
Its not my first time to pay a visit this web site, i am
visiting this web page dailly and get nice data from here all the time.
My blog post great site
Post a Comment