Tuesday, March 04, 2008

Kampeni Ya Kutangaza Vivutio Vya Tanzania yazinduliwa Uingereza


Pichani ni baadhi ya Watanzania waliohudhuria sherehe za uzinduzi wa mwanzo kabisa wa kuvitangaza vivutio vya Tanzania katika Mabasi Ya London,Uingereza katika sherehe zilizofanyika katika ubalozi wa Tanzania mjini London Leo,Pichani baadhi ya wadau walioshiriki kwenye uznduzi huo na nyuma yao ni moja kati ya mabasi hayo likiwa limebandikwa Matangazo Hayo.

1 comment:

Deacon Pat said...

great photos.....

SEKTA YA NYUMBA YAPATA MSUKUMO MPYA, NHC YATEKELEZA MIRADI YA MABILIONI NCHINI

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo a kiwasilisha  Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ...