WAZIRI SIMBACHAWENE ATEMBELEA BANDA LA NHC ALAT, ASIFU UTENDAJI KAZI NA KUAGIZA KASI YA UJENZI IONGEZEKE
Mgeni Rasmi katika Mkutano wa Taifa wa
Jumuiya ya serikali za mitaa ALAT ambao kitaifa unaofanyika mjini Musoma mkoani
Mara, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi Mhe. George Tuguluvala Simbachawene
akisikiliza maelezo kutoka kwa Erasto Chilambo, Meneja Mauzo wa Nyumba za
gharama nafuu wa Shirika la Nyumba la Taifa katika Banda la Maonyesho la
Shirika la Nyumba la Taifa mjini Musoma leo. Waziri Simbachawene amelisifu
Shirika la Nyumba kwa utendaji kazi mzuri na akalitaka liendelee kujenga nyumba
nyingi zaidi kwaajili ya kuwajengea Watanzania makazi bora na yenye heshima.
Mgeni Rasmi katika Mkutano wa Taifa wa Jumuiya ya serikali za mitaa ALAT ambao kitaifa unaofanyika mjini Musoma mkoani Mara Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi Mhe. George Tuguluvala Simbachawene akisalimiana na Afisa Masoko Mwandamizi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Emmanuel Lyimo katika Banda la Maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa mjini Musoma leo.
Meneja wa Mauzo ya Nyumba za Gharama Nafuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Erasto Chilambo akitoa maelezo kwa mmoja wa wateja waliofika katika Banda la Maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa mjini Musoma leoMeneja wa Mauzo ya Nyumba za Gharama Nafuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Erasto Chilambo akitoa akizungumza na vyombo vya habari vilivyofika katika Banda la Maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa mjini Musoma leo
Afisa Masoko Mwandamizi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Emmanuel Lyimo akitoa maelezo kwa mmoja wa wateja waliofika katika Banda la Maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa mjini Musoma leo.
Afisa Masoko Mwandamizi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Emmanuel Lyimo akitoa maelezo kwa mmoja wa wateja waliofika katika Banda la Maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa mjini Musoma leo.
Meneja wa Mauzo ya Nyumba za Gharama Nafuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Erasto Chilambo akitoa maelezo kwa mmoja wa wateja aliyefika katika Banda la Maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa mjini Musoma leo
Meneja wa Mauzo ya Nyumba za Gharama Nafuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Erasto Chilambo akitoa maelezo kwa mmoja wa wateja waliofika katika Banda la Maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa mjini Musoma leo ambapo kuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa Taifa wa Jumuiya ya serikali za mitaa ALAT, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi Mhe. George Tuguluvala Simbachawene ambao kitaifa unafanyia mjini Musoma mkoani Mara kuanzia leo hadi keshokutwa.
Comments