Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu (kushoto) akimkabidhi tofali Afisa Miradi wa Kikundi cha vijana cha Tuinuane cha Bukoba Mjini Christopher Vincent wakati wa makabidhiano ya mashine za kufyatulia matofali iliyotolewa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) yenye ubora unaofaa kujengea katika mazingira ya Bukoba kulingana na asili ya udongo na miamba ya mkoa wa Kagera.

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na huduma kwa jamii Shirika la Nyumba la Taifa Susan Omari (kulia) akitoa maelezo kwa vijana wa kikundi cha Tuinuane cha Bukoba Mjini yanayoendana na hali ya udongo na miamba ya mkoa wa Kagera leo mjini Bukoba.

Baadhi ya mashine zilizotolewa kwa vijana hao
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na huduma kwa jamii Shirika la Nyumba la Taifa Susan Omari (kulia) wakati wa kukabidhi mashine za kuengenezea matofali ya kisasa kwa vijana wa kikundi cha Tuinuane cha Bukoba Mjini yanayoendana na hali ya udongo na miamba ya mkoa wa Kagera leo mjini Bukoba.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na huduma kwa jamii Shirika la Nyumba la Taifa Susan Omari wakati wa kukabidhi mashine za kuengenezea matofali ya kisasa kwa vijana wa kikundi cha Tuinuane cha Bukoba Mjini yanayoendana na hali ya udongo na miamba ya mkoa wa Kagera leo mjini Bukoba.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu akisalimiana na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na huduma kwa jamii Shirika la Nyumba la Taifa Susan Omari wakati wa shughuli ya makabidhiano ya mashine hizo.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na huduma kwa jamii Shirika la Nyumba la Taifa Susan Omari (kulia) akitoa maelezo kwa vijana wa kikundi cha Tuinuane cha Bukoba Mjini yanayoendana na hali ya udongo na miamba ya mkoa wa Kagera leo mjini Bukoba.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu (kushoto) akiwakabidhi viongozi wa vikundi vya vijana matofali kama ishara ya makabidhino wakati wa makabidhiano ya mashine za kufyatulia matofali iliyotolewa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) yenye ubora unaofaa kujengea katika mazingira ya Bukoba kulingana na asili ya udongo na miamba ya mkoa wa Kagera.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu (kushoto) akimkabidhi tofali Afisa Miradi wa Kikundi cha vijana cha Tuinuane cha Bukoba Mjini Christopher Vincent wakati wa makabidhiano ya mashine za kufyatulia matofali iliyotolewa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) yenye ubora unaofaa kujengea katika mazingira ya Bukoba kulingana na asili ya udongo na miamba ya mkoa wa Kagera.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu (kushoto) akimkabidhi tofali Afisa Miradi wa Kikundi cha vijana cha Tuinuane cha Bukoba Mjini Christopher Vincent wakati wa makabidhiano ya mashine za kufyatulia matofali iliyotolewa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) yenye ubora unaofaa kujengea katika mazingira ya Bukoba kulingana na asili ya udongo na miamba ya mkoa wa Kagera.
No comments:
Post a Comment