Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 6,2016. Kutoka kushoto ni Mbunge wa Busega, Raphael Chegeni, Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe na Mbunge wa Bumbuli, January Makamba.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Busega, Raphael Chegeni kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 6, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mafinga Mjini, Cosato Chumi kwenye jengo la Utawala la Bunge mjini Dodoma Septemba 6, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Segerea, Bonnah Kaluwa kwenye jengo la Utawala la Bunge mjini Dodoma Septemba 6, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Comments