Tuesday, September 06, 2016

RAIS JOHN POMBE MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA HOSTELI ZA WANAFUNZI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM ASUBUHI HII

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kukakagua ujenzi wa hosteli za wanafunzi chuo kikuu cha dar es salaam asubuhi hii,Rais Magufuli aliambatana na Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam,Mh,Paul Makonda pamoja na Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Prof.Joyce Ndalichako .


 Mkuu wa Mkoa Mh.Paul Makonda akizungumza jambo wakati Rais Dkt Magufuli alipokwenda kukagua ujenzi wa hosteli za wanafunzi chuo kikuu cha dar es salaam asubuhi hii,Rais Magufuli aliambatana na Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam,Mh,Paul Makonda pamoja na Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Prof.Joyce Ndalichako . SOURCE MICHUZI TV.

No comments:

NHC YAKABIDHI MSAADA KWA WATU WENYE ULEMAVU UBUNGO

  Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kupitia kwa Afisa wake Mkuu wa Habari, Yahya Charahani, limekabidhi msaada wa vifaa vya kusaidia watu we...