WAZIRI MKUU AIPONGEZA VODACOM TANZANIA KWA KUTOA MSAADA WA HUNDI YA SHILINGI MILIONI 100 KWA AJILI YA WAHANGA WA TETEMEKO KAGERA
Waziri Mkuu Mh.Majaliwa Kassim Majaliwa (kushoto) akikapokea mfano wa hundi yenyethamani ya shilingi milioni 100/= kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao (kulia) ikiwa ni msaada kwa ajili ya kukabiliana na maafa ya tetemeko la ardhi lililotokea hivi karibuni mkoani Kagera.Makabidhiano hayo yaliyofanyika Ofisi ya Waziri Mkuu Alhamisi Septemba 22, 2016 jijini Dar es Salaam.Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa kampuni hiyo, Rosalynn Mworia
Waziri Mkuu Mh.Majaliwa Kassim Majaliwa (kushoto) akiwa kwenyepicha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao (kulia) mara baada ya kukabidhiwa mfano wa hundi yenye thamani shilingi milioni 100= ikiwa ni msaada kwa ajili ya kukabiliana na maafa ya tetemeko la ardhi lililotokea hivi karibuni mkoani Kagera.Makabidhiano hayo yaliyofanyika Ofisi ya Waziri Mkuu Alhamisi Septemba 22, 2016 jijini Dar es Salaam.Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa kampuni hiyo, Rosalynn Mworia.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao ( wa pili kulia) akizungumza na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa ( kushoto) kwenye hafla ya Kumkabidhi msaada wa shilingi Milioni 100/= kwa ajiliya kusaidia wahanaga wa tetemeko la ardhi liliotokea hivi karibuni mkoani Kagera.Makabidhiano hayo yaliyofanyika Ofisi ya Waziri Mkuu Alhamisi Septemba 22, 2016 jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano Uhusiano wa kampuni hiyo, Rosalynn Mworia.
Waziri Mkuu Khassim Majaliwa (katikati) akimshukuru Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao mara baada ya kumkabidhi hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 100/= ikiwa ni msaada kwa ajili ya kukabiliana na maafa ya wahanga wa tetemeko la ardhi lililotokea hivi karibuni mkoani Kagera.Makabidhiano hayo yaliyofanyika Ofisi ya Waziri Mkuu Alhamisi Septemba 22, 2016 jijini Dar es Salaam. Kushoto kwake ni Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia.
Comments