JUMUIYA YA MARADHI YASIYO AMBUKIZA ZANZIBAR (ZNCDA) NA KIKUNDI CHA OBAMA FITNESS YAFANYA MATEMBEZI YA KUSHAJIHISHA JAMII KUFANYA MAZOEZI

 Naibu Spika wa (BLM) Mgeni Hassan Juma (alievaa flana ya bluu) na Meneja wa Jumuiya ya maradhi yasiyo ambukiza Zuhura Saleh Amour (kulia) wakifanya mazoezi.
Mgeni rasmi Naibu Spika wa (BLM) Mgeni Hassan Juma (alievaa flana ya bluu) katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya maradhi yasiyo ambukiza Zanzibar. Picha na Makame Mshenga/Maelezo Zanzibar.
 Bendi ya Jeshi la Magereza Zanzibar likiongoza matembezi ya wanamichezo, kushajihisha Jamii kufanya mazoezi. 
 Wanamichezo wakiwa katika matembezi ya kushajihisha Jamii kufanya mazoezi yaliyoanza Mazizini na kumalizia uwanja wa Amani Mjini Zanzibar.
 Naibu Spika wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe. Mgeni Hassan Juma ambae ni mgeni rasmi katika matembezi yawanamichezo akizungumza na vikundi vya mazoezi vilivyoshiriki matembezi hayo.
 Kocha wa mazoezi kutoka kikundi cha Obama Fitness Club Haji Golo akiongoza mazoezi ya wanavikundi baada ya maandamano yaliyoanza Mazizini na kumalizikia uwanja wa Amani Mjini Zanzibar.
 Kocha wa mazoezi kutoka kikundi cha Obama Fitness Club Haji Golo akiongoza mazoezi

Comments