Friday, September 02, 2016

JK AKUTANA NA UJUMBE WA WATAALAM WALIOBOBEA KATIKA MASUALA YA KILIMO NA MIFUGO KUTOKA FUJIAN, CHINA


Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete, akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Umoja wa Ushirikiano na Nchi za Nje wa Wataalam wa masuala ya Kilimo na Mifugo kutoka Fujian China, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Wa pili kushoto ni kiongozi wa Ujumbe huo Li Lin.
Mwenyekiti mstaafu wa CCM akimpatia kipeperushi Mkuu wa msafara kutoka Jimbo a Fujian China
Baadhi ya wajume wakitazama kipeperushi hicho
Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimkabidhi zawadi maalum Mkuu wa Msafara wa ujumbe wa Umoja wa Ushirikiano na Nchi za Nje wa Wataalam wa masuala ya kilimo na Mifugo kutoka Fujian China, Mwenyekiti wa Umoja huo, Li Lin, baada ya mazungumzo hayo 
Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akikabidhiwa zawadi maalum na Mkuu wa Msafara wa ujumbe wa Umoja wa Ushirikiano na Nchi za Nje wa Wataalam wa masuala ya kilimo na Mifugo kutoka Fujian China, Mwenyekiti wa Umoja huo, Li Lin, alipowasili ukumbini tayari kwa mazungumzo 
Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akikabidhiwa zawadi maalum na Mkuu wa Msafara wa ujumbe wa Umoja wa Ushirikiano na Nchi za Nje wa Wataalam wa masuala ya kilimo na Mifugo kutoka Fujian China, Mwenyekiti wa Umoja huo, Li Lin, alipowasili ukumbini tayari kwa mazungumzo 
Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akibadilishana mawazo Mkuu wa Msafara wa ujumbe wa Umoja wa Ushirikiano na Nchi za Nje wa Wataalam wa masuala ya kilimo na Mifugo kutoka Fujian China, Mwenyekiti wa Umoja huo, Li Lin, alipowasili ukumbini tayari kwa mazungumzo
Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe huo kutoka Fujian na Ujumbe wa upande wake baada ya mazungumzo
Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimpongeza kwa kazi nzuri, Profesa wa masuala ya Kilimo, Lin Zhanx bada ya picha ya pamoja. Kikwete amevutiwa na Profesa huyo kwa kuweza kugudua uoteshaji wa uyoga mahsusi kwa dawa badala ya ule wa chakula tu. 
Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimtambulisha Profesa huyo, kwa Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles Tizeba 
Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiagana na mkuu wa msafara wa ujumbe huo kutoka Fujian
Wageni wakipanda gari kuondoka Ofisi Ndogo ya MakaoMakuu ya CCM, Lumumba jijni Dar es Salaam, baada ya mazungumzo hayo
Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiteta na Tizeba baada ya wageni kuondoka 
Kisha naye akawaaga kabla ya kuondoka. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO/ KWA PICHA ZAIDI ZA TUKIO HILI LA KIHISTORIA TAFADHALI;BOFYA HAPA

No comments: