RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI PEMBA KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MBILI



Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwa ameambatana na mkewe mama Janeth,wakisalimiana na wenyeji wao mara baada ya kuwasili Pemba mapema leo kwa ziara ya kikazi ya siku mbili visiwani humo,ambapo hapo baadae ataelekea Unguja kuendelea na ziara yake ya kikazi .
Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwa ameambatana na mkewe mama Janeth,na ujumbe mwingine aliofuatana nao wakitazama kikundi cha ngoma za asili mara baada ya kuwasili Pemba mapema leo kwa ziara ya kikazi ya siku mbili visiwani humo,ambapo hapo baadae ataelekea Unguja kuendelea na ziara yake ya kikazi.

Comments