Monday, September 05, 2016

ZIARA YA MKURUGENZI MKUU WA NHC NA MAAFISA WA BENKI WASHIRIKA WA NHC ENEO LA IYUMBU, MEDELI-DODOMA

 Maafisa Mikopo kutoka katika Benki tofauti tofauti saba wakiwa katika ziara ya kutembelea nyumba za makazi za Medeli Dodoma ambazo zinaendelea kuuzwa, walifanya ziara hiyo ili kuweza kuelewa kwa undani nyumba hizo zilivyo na namna watakavyowashauri wateja wao na hata wao wenyewe kufahamu kwa kina yaliyomo ndani ya nyumba hizo. Anayewaelekeza ni Meneja Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Itandula Gambalagi, maofisa hao pia walitembelea eneo la NHC Iyumbu nkunakokusudiwa kuanza ujenzi mkubwa wa nyumba katika Sattelite City

Maafisa Mikopo kutoka katika Benki tofauti tofauti saba wakiwa katika ziara ya kutembelea nyumba za makazi za Medeli Dodoma ambazo zinaendelea kuuzwa, walifanya ziara hiyo ili kuweza kuelewa kwa undani nyumba hizo zilivyo na namna watakavyowashauri wateja wao na hata wao wenyewe kufahamu kwa kina yaliyomo ndani ya nyumba hizo. Anayewaelekeza ni Meneja Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Itandula Gambalagi, maofisa hao pia walitembelea eneo la NHC Iyumbu kunakokusudiwa kuanza ujenzi mkubwa wa nyumba katika Sattelite City
 Mojawapo ya jengo la nyumba za makazi za Medeli Dodoma linavyoonekana pichani, nyumba hizo kwa sasa zinauzwa kwa Watanzania wote wenye kuzihitaji ili kuweza kujipatia makazi wawapo Makao Makuu ya nchi Dodoma.
Eneo la NHC Iyumbu kunakokusudiwa kuanza ujenzi mkubwa wa nyumba katika Sattelite City, eneo lina ukubwa wa ekari za mraba 236 na kunatarajiwa kujengwa nyumba 500 kwaajili ya kuwauzia wananchi mbalimbali wanaohamia mjini humo.
 Maafisa Mikopo kutoka katika Benki tofauti tofauti saba wakiwa katika ziara ya kutembelea eneo la NHC Iyumbu kunakokusudiwa kuanza ujenzi mkubwa wa nyumba katika Sattelite City

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi ya NHC katika ziara ya kutembelea eneo la NHC Iyumbu kunakokusudiwa kuanza ujenzi mkubwa wa nyumba katika Sattelite City.
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akisalimiana na wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakati alipowasili katika Ofisi za NHC mkoa na kuzungumza na wafanyakazi kuhusiana na masuala mbalimbali ya kiutendaji kazi.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akizungumza na wafanyakazi kuhusiana na masuala mbalimbali ya kiutendaji kazi.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akiwa katika picha ya pamoja na wafanywakazi wa NHC Dodoma.
Meneja Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Itandula Gambalagi, akiwa katika kikao na wapangaji wa NHC Medeli akiwaeleza fursa mbalimbali zinazopatika ndani ya Medeli katika ununuzi wa nyumba hizo ambazo zimepangishwa kwa sasa.
Post a Comment