Friday, September 23, 2016

MAJALIWA AWASILI MAFIA KUANZA ZIARA YA MKOA WA PWANI

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa mkoa wa Pwani baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mafia  kwa ziara ya kikazi Septemba 23, 2016. 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika sala ya Ijumaa kwenye Msikiti Mkuu wa Mafia akiwa katika siku ya kwanza ya ziara ya mkoa wa Pwani Septemba 23, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoka kwenye Msikiti Mkuu wa Mafia bbada ya kushiriki  sala ya Ijumaa akiwa katika siku ya kwanza na ziara  ya mkoa wa Pwani Septemba 23, 2016.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarest Ndikilo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mafia kwa ziara ya kikazi wilayani humo Septemba 23, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

SAMIA AZINDUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA WFNS, ATEMBELEA MAONESHO YA SEKTA YA AFYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akitembelea mabanda ya maonesho ya wadau wa Sekta ya Afya kabla ya k...