Friday, September 02, 2016

RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI NA MKEWE JANETH WAZURU KABURI LA DK.OMAR ALI JUMA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyewahi kuwa Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, hayati Dk.Omar Ali Juma lililopo Wawi Mchekeni, Chake Chake ,Pemba
Mke wa Rais,Mama Janeth Magufuli akiomba dua kwenye kaburi la aliyewahi kuwa Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, hayati Dk.Omar Ali Juma lililopo Wawi Mchekeni, Chake Chake ,Pemba
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa ameambatana na Mkewe,Janeth Magufuli (hawaonekani pichani) wakisubiri kuweka mashada ya maua na kuomba dua kwenye kaburi la aliyewahi kuwa Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, hayati Dk.Omar Ali Juma lililopo Wawi Mchekeni, Chake Chake ,Pemba.

No comments:

DKT. SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM TAIFA, ZANZIBAR

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza  Kikao cha K...