Monday, May 04, 2015

MOTO WATEKETEZA JENGO MOJA MTAA WA LIVINGSTONE NA NARUNG'OMBE, KARIAKOO JIONI YA LEO


 
Moto mkubwa ukiendelea kuteketeza moja ya jengo lililopo kwenye makutano ya Mtaa wa LivingStone na Narung'ombe, Kariakoo jijini Dar es salaam muda huu. Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika mpaka sasa.
Globu ya Jamii inafuatilia tukio hilo taarifa kamili itawajia baadae kidogo.

No comments:

RAIS SAMIA ASHIRIKI NA KUTUNUKU TUZO ZA WASANII WA KOMEDI TANZANIA 2025

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki kama mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasa...