Mkuu wa Wilaya ya Bukoba, Jackson Msome (kulia), akihutubia Baraza la Madiwani lilokuwa likijadili na kupitisha Sheria Ndogo ya kuanzishwa kwa mpango wa Tiba kwa Kadi (TIKA) unaosimamiwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kupitia mpango huo wakazi kwenye Manispaa ya Bukoba.
Diwani, Norberth Katunzi akichangia mada yake katika mkutano huo.
Wadau pamoja na viongozi wa Manispaa hiyo wakifuatilia mada kuhusu kuanzishwa kwa Sheria Ndogo TIKA kwenye Manispaa ya Bukoba.
No comments:
Post a Comment