Tuesday, April 14, 2015

MAOFISA WA SMZ WAHUDHURIA MAFUNZO KUHUSU MAFUTA NA GESI NCHINI CHINA

CH1Maafisa Waandamizi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika picha ya pamoja nchini China wanakohudhuria mafunzo ya muda mfupi kuhusiana na mafuta na gesi asilia, katikati ni mmoja wa wenyeji wa maafisa hao( Picha na Juma Mohammed, MAELEZO Beijing)CH2 Mkurugenzi wa Mipango na Sera na Utafiti  Wizara ya Ardhi, Makaazi Maji ujenzi na Nishati, Salhina Mwita Ameir akieleza jambo wakati wa mafunzo ya mafuta na gesi asilia katika Chuo cha Biashara za Kimataifa Beijing China. Wanaomtazama kutoka kushoto ni Mhandisi Mwalimu Ali Mwalimu na Farhat Ali Mbarouk. (Picha na Juma Mohammed, MAELEZO China) 

No comments:

🔴🔴TABORA ZOO YAENDELEA KUNG'ARA KAMA KITOVU CHA ELIMU, BURUDANI NA UTALII WA NDANI

Na Mwandishi wetu, Tabora. Bustani ya Wanyamapori Tabora (Tabora Zoo) imeendelea kujipambanua kama kivutio muhimu cha elimu na burudani jiji...