Tuesday, April 14, 2015

KAMPUNI YA TIGO YADHAMINI KONGAMANO LA WANACHUO WA IAA ARUSHA

TI1Meneja wa Tigo Kanda ya Kaskazini Deogratius Ndejembi akiongea na wanachuo wa chuo cha Uhasibu Arusha(IAA) wakati wa kongamano la kuwaelimisha na kuwasaidia wanavyuo jinsi ya kupata ajira wamalizapo masomo, kongamano hilo lilidhamini na kampuni ya Tigo lilifanyika mwishoni mwa wiki mkoani Arusha.

No comments:

RC CHALAMILA ATOA SIKU SABA KWA MUAFAKA WA MGOGORO WA ARDHI TOANGOMA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, ametoa muda wa siku saba kwa wadau wanaohusika na mgogoro wa muda mrefu wa ardhi katik...