Wednesday, October 01, 2014

Shirika la Nyumba la Taifa lakabidhi Mashine za kufyatulia Matofali Tabora

DSC01430

Meneja wa NHC Mkoa wa Tabora Erasto Chilambo akimpokea Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Uyui Khadija Makuani
DSC01436

Mkuu wa Wilaya ya Nzega Bi. TunuMsangi  akimkaribisha mgeni rasmi. Picha kwa hisani ya Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii cha Shirika la Nyumba la TaifaDSC01445

Meneja wa NHC Mkoa wa Tabora Erasto Chilambo, akizungumza  na wananchi .
DSC01451

Wananchi waliohudhuria katika hafla hiyo.
DSC01460

Mgeni rasmi (Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tabora) Bwana,  Suleiman Kumchaya ( Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mjini) akiwa tayari kuzindua mashine za kufyatua  matofali ya kufungamana .
DSC01476

Mgeni rasmi (Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tabora) Bwana Suleiman Kumchaya  akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mashine za kufyatua matofali ya kufungamana kwa ajili ya mradi wa vijana.DSC01477

Mgeni Rasmi(Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tabora) Wakurugenzi wa Halmashauri zote za Mkoa wa Tabora wakipiga makofi wakati wa uzinduzi wa mashine za kufyatua matofali.DSC01482

Meneja wa NHC  Mkoa wa Tabora akimkabidhi mgeni rasmi (Makamu Mkuu wa Mkoa wa Tabora) mashine za kufyatulia matofali ya kufungamana.
DSC01484

Mgeni rasmi (Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tabora) Suleiman Kumchaya akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Uyui Bi. Khadija Makuani mashine za kufyatua matofali ya kufungamana kwa niaba ya vikundi vya vijana.
DSC01485

Mgeni rasmi (Kaimu Mkuu wa mkoa wa Tabora) Suleiman Kumchaya akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Igunga Bi.Lustica Turuka mashine za kufyatua matofali ya kufungamana kwa niaba ya vikundi vya vijana.
DSC01487

Mgeni rasmi (Kaimu  Mkuu wa Mkoa wa Tabora) akimkabidhi Mkugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Tabora Bi. Spora Liana mashine za kufyatua matofali ya kufungamana kwaniaba ya vikundi vya vijana.
DSC01507

Mgeni rasmi (Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tabora) Bwana Suleiman Kumchaya  akitoa hotuba katika hafla ya kukabidhi mashine za kufyatua matofali ya kufungamana kwa ajiliya vikundi vya vijana.
DSC01513

Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na wakuu wa Wilaya zote za Mkoa wa Tabora katika hafla ya kukabidhi mashine za kufyatua matofali ya kufungamana.
DSC01522

Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na wazee wa Isikizya.
DSC01527

Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na walimu wa Veta watakaowafundisha vijana namna ya kufyatua matofali ya kufungamana kwa kutumia mashine walizokabidhiwa.

No comments: