Monday, October 13, 2014

RAIS KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MWILI WA MAREHEMU DKT WILLIAM SHIJA JIJINI DAR ES SALAAM

Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu Dkt William Shija alipoongoza shughuli za kuaga jana Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole Mama Getrude Shija, Mjane wa Marehemu Dkt William Shija alipoongoza shughuli za kuaga jana Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi kitabu cha maombolezo cha msiba wa  Marehemu Dkt William Shija alipoongoza shughuli za kuaga jana Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwelekeza ofisa wa Bunge wakati wa shughuli za kutoa heshima za mwisho kwa Marehemu Dkt William Shija alipoongoza shughuli za kuaga jana Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam
Saidi Yakubu, MC wakati wa shughuli za kuaga mwili wa marehemu Dkt William Shija jana Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam
Spika Anna Makinda akiongea wakati wa shughuli za kuaga mwili wa marehemu Dkt William Shija jana Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam
Sehemu ya waombolezaji
Rais Kikwete akipeana mikono na Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola (CPA) baada ya kutoa salamu za rambirambi kutoka makao makuu ya CPA jijini London. 
Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola (CPA) akimkabidhi binti wa marehemu vitabu vya maombolezo vilivyotiwa saini na waombolezaji huko London Uingereza.
shughuli za kuaga mwili jana Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam

No comments:

RAIS SAMIA AFUNGUA SOKO LA KISASA KARIAKOO LILILOGHARIMU BILIONI 28, SASA BIASHARA SAA 24

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Sok...