Wednesday, July 02, 2014

MAMA SALMA KIKWETE AKIMPOKEA MALKIA NOMSA MATSEBULA WA SWAZILAND.

IMG_5557Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpokea Malkia Nomsa Matsebula wa Swaziland kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere tarehe 1.7.2014.
IMG_5565 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na baadhi ya wageni waliofuatana na Malkia Nomsa Matsebula mara baada ya mgeni huyo kutua kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa waMwalimu Julius Nyerere tarehe 1.7.2014jIMG_5589Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea na mgeni wake Malkia Nomsa Matsebula wa Swaziland wakati wakielekea kupanda magari kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere tarehe 1.7.2014.
IMG_5571
Malkia Nomsa Matsebula wa Swaziland akipokea ua mara baada ya kuwasili  kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere.

No comments:

Oryx Gas Waja na Promosheni Maalum ya Mfungo

  NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM KATIKA kuendelea kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, Kampuni ya Oryx Gas imezindua kampeni...