Tuesday, July 08, 2014

BENKI YA EXIM KATIKA MAONYESHO YA 38 YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA SABA SABA

exim ditf pix 1
Meneja wa Biashara Kubwa na Uwekezaji wa kibenki wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Justin Wambali (Kushoto) akiwaelezea wateja watarajiwa juu ya huduma zitolewazo na benki hiyo walipotembelea banda la benki hiyo katika Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa Jijini Dar es Salaam ya Saba Saba. Wapili kushoto ni Afisa Mauzo, Irene Joachim na Afisa Uhusiano, Cosmas Nade (watatu kushoto). (Picha na mpiga picha wetu).
exim ditf pix 2

exim ditf pix 3
Meneja wa Biashara Kubwa na Uwekezaji wa kibenki wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Justin Wambali (Kushoto) akimpa maelezo mtoto, akiwa kama mmoja kati ya wateja watarajiwa juu ya huduma zitolewazo na benki hiyo walipotembelea banda la benki hiyo katika Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa Jijini Dar es Salaam ya Saba Saba. Wapili kushoto ni Afisa Mauzo, Irene Joachim na Afisa Uhusiano, Cosmas Nade (watatu kushoto). (Picha na mpiga picha wetu).
exim ditf pix 4
Afisa Uhusiano wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Cosmas Nade akisambaza vipeperushi vyenye maelezo ya huduma mbali mbali zitolewazo na benki hiyo kwa wanafunzi waliopita katika banda la benki hiyo wakati wa maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa jijini Dar es Salaam ya Saba Saba mwishoni mwa wiki. (Picha na mpiga picha wetu).

No comments:

MAKATIBU WAKUU WAKAGUA AICC MAANDALIZI YA MWISHO MKUTANO WA IPU, ARUSHA

Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali pamoja na Kamati ya Wataalamu ya Maandalizi ya Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), wamefan...