Thursday, July 24, 2014

RAIS KIKWETE AANDAA FUTARI KWA WANANCHI WA BAGAMOYO


Baadhi ya wananchi wa Bagamoyo wakiswali swala ya Magharibi wakati wa futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Jumatano jioni Julai 23, 2013. Rais Kikwete, ambaye yuko katika ziara ya kikazi mkoani Ruvuma, aliwakilishwa na Mhe Ridhiwani.
Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete akichota futari pamoja na wananchi wa Bagamoyo walioalikwa katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Jumatano jioni Julai 23, 2013. Rais Kikwete, ambaye yuko katika ziara ya kikazi mkoani Ruvuma, aliwakilishwa na Mhe Ridhiwani.
Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete akijumuka na wananchi wa Bagamoyo walioalikwa katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Jumatano jioni Julai 23, 2013. Rais Kikwete, ambaye yuko katika ziara ya kikazi mkoani Ruvuma, aliwakilishwa na Mhe Ridhiwani.
Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete akitoa neno la shukurani kwa wananchi wa Bagamoyo waliohudhuria katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Jumatano jioni Julai 23, 2013. Rais Kikwete, ambaye yuko katika ziara ya kikazi mkoani Ruvuma, aliwakilishwa na Mhe Ridhiwani.
Sehemu ya kinamama wa Bagamoyo waliohudhuria katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Jumatano jioni Julai 23, 2013. Rais Kikwete, ambaye yuko katika ziara ya kikazi mkoani Ruvuma, aliwakilishwa na Mhe Ridhiwani.
Baadhi ya wafanyakazi wahudumu katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Jumatano jioni Julai 23, 2013. Rais Kikwete, ambaye yuko katika ziara ya kikazi mkoani Ruvuma, aliwakilishwa na Mhe Ridhiwani.
Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete akiagana na wananchi wa Bagamoyo walioalikwa katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Jumatano jioni Julai 23, 2013. Rais Kikwete, ambaye yuko katika ziara ya kikazi mkoani Ruvuma, aliwakilishwa na Mhe Ridhiwani.PICHA NA IKULU.

No comments:

TUZINGATIE UTU, SHERIA NA HAKI KATIKA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA ULINZI WA RASILIMALI ZA TAIFA- DKT KIJAJI

  Na. Joyce Ndunguru, Morogoro. Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Dkt Ashatu Kijaji (Mb) amewataka watumishi wa Mamlaka ya Usimamizi wa W...