Monday, July 14, 2014

PINDA AZUNGUMZA NA WATANZANIA – LONDON

PG4A5022
 Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  akitia saini kitabu cha wageni baada ya  kuwasili kwenye  ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo mjini London kabla ya kuzungumza na watanzania Julai 11, 2014. Kushoto ni Mkewe Tunu na kulia ni Kaimu Balozi wa Tanzania nchini  Uingereza, Carol Chipeta. (Picha na Ofisi  ya Waziri Mkuu)
PG4A5024
Baadhi ya Watanzania waliohudhuria mkutano kati yao na  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo mjini Londoni Julai  11, 2014 wakimsikiliza  Waziri Mkuu wakati alipowahutubia. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A5030
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na watanzania kwenye Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza  mjini London,  Julai 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A5066
Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda akisalimiana na baadhi ya Waliohudhuria  katika mkutano kati yake  na Watanzania kwenye ubalozi wa Tanzania mjini Londoni Julai 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A5078
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu  (aliyevaa nguo yenye rangi za bendera ya Taifa)   wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano kati yake na watanzania kwenye ubalozi wa Tanzania mjini London Julai 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A5089
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu  (aliyevaa nguo yenye rangi za bendera ya Taifa)   wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano kati yake na watanzania kwenye ubalozi wa Tanzania mjini London Julai 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A5108
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Mkewe Tunu (kushoto) na Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Carol  Chipeta wakizungumza na Shima Kombe baada ya  mkutano kati ya Waziri Mkuu na Watanzania kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo London Julai 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A5112
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  na  Mkewe Tunu (kushoto)  wakizungumza na Shima Kombe baada ya  mkutano kati ya Waziri Mkuu na Watanzania kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo London Julai 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: