MTEMVU ATOA MSAADA WA TANI TANO ZA VYAKULA KWA VIKUNDI VYA WASIO NA UWEZO TEMEKE, DAR ES SALAAM
Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu, akimkabidhi msaada wa vyakula, Beatrice Mgomele wa Makao ya Taifa, Kurasini, Dar es Salaam, wakati wa hafla ya Mtemvu kukabidhi msaada wa tani tano ya vyakula kwa vituo na vya watoto wanaoishi latika, mazingira magumu na wasiojiweza, leo Julai 13, 2014, Temeke, Dar es Salaam. Mtemvu akimkabidhi, Aminajaat Kilemia wa Kituo cha Hiari Chang’ombe msaada wa vyakula kwa ajili ya kituo hicho Jasmin John kutoka kundi maalum la Kinamama wenye ulemavu akikabidhiwa msaada kwa ajili ya kundi hilo. Mtemvu akizungumza na waandishi baada ya kukabidhi msaada, huo wenye vyakula vyenye uzito wa tani tano, vya sh. milioni kumi.Picha zote na Bashir Nkoromo watheNkoromo Blog
No comments:
Post a Comment