Wednesday, July 23, 2014

WENGI WAJITOKEZA MAZISHI YA EVERLYNE MACHELLAH

 Katekista wa Kanisa Katoliki Mwananyala akiongoza ibada ya kuaga mwili wa marehemu, Everlyne Michael Machellah nyumbani kwao Mwananyamala jijini Dar es Salaam jana. (Picha zote na Francis Dande)
Ibada ikiendelea.
Michael Machellah akiwa na waombolezaji wengine.
 Ibada ikiendelea.
 Mama wa marehemu (kulia) akiwa na huzuni wakati wa ibada ya kuaga mwili nyumbani kwao Mwanyamala.
Michael Machellah akiwa na huzuni wakati wa ibada ya kuaga mwili wa mtoto wake Everlyne.
 Waombolezaji.
 Waomboleza wakiwa katika ibada ya kuaga mwili.
 Meneja wa Bia ya Safari, Oscar Shelukindo akitoa heshima za mwisho.
 Mwakilishi wa Kampuni ya Intergrated akitoa heshima za mwisho.
 Baadhi ya waombolezaji wakiwa katika ibada ya kuaga mwili iliyofanyika nyumbani kwao Mwananyamala jijini Dar es Salaam.
Mama wa marehemu akimvisha rozali.
 Mwili wa marehemu ukiwasili makaburini.
 Mwili wa marehemu ukiwekwa kaburini.
 Baba na mama wakiweka shada la maua.
 Baba wa marehemu, Michael Machellah akiweka udongo katika kaburi wakati wa mazishi.
Mama wa marehemu akiweka udongo.
 Shangazi wa marwehemu akiweka shada la maua.

No comments:

RAIS SAMIA ASHIRIKI NA KUTUNUKU TUZO ZA WASANII WA KOMEDI TANZANIA 2025

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki kama mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasa...