Monday, July 28, 2014

WAZIRI WA MAJI PROF,MAGHEMBE AFUTURISHA WANANCHI JIMBONI KWAKE.


Maandalizi ya Futari iliyoandaliwa na Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe yakifanyika.
Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe akiwakaribisha wananchi katika futari aliyoandaa kwa ajili yao katika eneo la Ikulu wilayani Mwanga.
Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe akizungumza na wageni wake  alipowaalika kwa ajili ya Futari aliyoandaa kwa ajili yao eneo la Ikulu wilayani Mwanga.
Mke wa Waziri wa Maji Prof,Jumanne Maghembe ,Kudra Maghembe akiwakaribisha wananchi katika futari iliyoandaliwa kwa ajili yao.
Waumini wa dini ya Kiislamu wakiswali swala ya Magharibi katika eneo la Ikulu wilayani Mwanga kabla ya Futuru iliyoandaliwa na Waziri wa Maji Prof,Jumanne Maghembe.
Wananchi wakipata Futari.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya
 Jamii Kanda ya Kaskazini.

No comments:

WIZARA YA AFYA YAOMBA SH. TRILIONI 1.8 BAJETI YA 2026/2027

  Wizara ya Afya imeomba kuidhinishiwa jumla ya Shilingi trilioni 1.8 kwa mwaka wa fedha 2026/2027 kwa ajili ya kuendelea kuboresha huduma z...