Thursday, July 24, 2014

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), John Heche Akutana na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam Kuhusu Kuanza kwa Uchaguzi wa Nafasi za Uongozi wa Ngazi ya Majimbo,Wilaya,Mikoa na Ngazi ya Taifa


Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), John Heche akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, kuhusu kuanza kwa uchaguzi wa nafasi za uongozi wa ngazi ya majimbo, wilaya, mikoa na ngazi ya taifa. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu-Bavicha, Ester Daffi na Katibu Mkuu wa Bavicha, Deogratias Munishi.
Naibu Katibu Mkuu-Bavicha, Ester Daffi akizungumza na waandiushi wa habari. Picha na Francis Dande

No comments:

TANZANIA IMEJENGWA KWA MISINGI IMARA YA AMANI NA UZALENDO-MAJALIWA

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Tanzania imejengwa kwa misingi imara ya amani, uzalendo na maadili mema ambayo yameasisiwa na vion...