Thursday, July 24, 2014

Mabehewa Mapya 25 Ya Kuimarisha Reli ya Kati Yawasili Nchini Kutoka Nchini India Nakupokelewa na Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe

Moja ya mabehewa ya kubebea kokoto zitakazotumika kwa ajili ya kuimarisha reli ya Kati ikishushwa kutoka katika meli ilipowasili katika Bandari ya Dar es Salaam kutoka India. Jumla ya mabehewa 25 tayari yamewasili ambapo thamani yake ni zaidi ya bilioni 4.
Ephraim Joel akirekebisha behewa.
 Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe akizungumza na waandishi wa habari juu ya kuwasili kwa mabehewa 25 ya kuimarisha reli.Picha na Mika Ndaba

No comments:

MAKATIBU WAKUU WAKAGUA AICC MAANDALIZI YA MWISHO MKUTANO WA IPU, ARUSHA

Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali pamoja na Kamati ya Wataalamu ya Maandalizi ya Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), wamefan...