Friday, July 18, 2014

PINDA AKUTANA NA BALOZI WA MAREKANI NCHINI

PG4A5245PG4A5244Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na  balozi wa Marekani Nchini, Mhe. Mark Childress   kablaya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam  Julai 18, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

RAIS DKT. SAMIA AKUTANA NA UJUMBE WA JUKWAA LA MABUNGE LA NCHI ZA MAZIWA MAKUU (FP-ICGLR) IKULU NDOGO TUNGUU, ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Kiongozi wa Jukwaa la Mabunge la...