.jpg)
Friday, July 11, 2014
ZIARA YA DKT JOHN POMBE MAGUFULI MKOANI DODOMA
Waziri wa Ujenzi Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli leo amefungua Mradi wa Taa za kuongozea Magari katika mji wa Dodoma.Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng.Musa Ibrahim Iyombe Mradi huo ambao umefanywa na wakandarasi Wazawa umegarimu shilingi Milioni 384.Mataa yaliyozinduliwa jana ni yaliyopo ANJIA PANDA ya Barabara ya Nyerere na Mpwapwa na yale yaliyopo njia panda ya Barabara ya Area D na barabara ya kuelekea Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt.Rehema Nchimbi kulia akimkaribisha Waziri wa Ujenzi,Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli Kufungua Mradi wa Taa za kuongozea Magari Mjini Dodoma.
Waziri wa Ujenzi,Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Mradi wa Taa za kuongozea Magari Mjini Dodoma.
Waziri wa Ujenzi,Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akifunguwa pazia la jiwe la msini wakati wa kufungua Mradi wa Taa za kuongozea Magari Mjini Dodoma.
Mkuu wa Mkoa akimpongeza Waziri Magufuli
![]() |
Magari yakipita katika mataa mara baada ya Waziri wa Ujenzi,Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli Kufungua Mradi wa Taa za kuongozea Magari Mjini Dodoma katika makutano ya barabara ya Nyerere na Mpwapwa.
|
Vikundi vya ngoma na nyimbo kutoka JKT Makutopora vikitoa burudani wakati Waziri wa Ujenzi Dkt.John Magufuli akizindua mradi wa mataa ya kuongozea magari mjini Dodoma.(Mhe.Maguguli ambaye alipitia JKT Makutopora amewazawadia Shilingi laki tatu baada ya kuvutiwa na burudani ya vikundi hivyo.
Vikundi vya ngoma na nyimbo kutoka JKT Makutopora vikitoa burudani wakati Waziri wa Ujenzi Dkt.John Magufuli akizindua mradi wa mataa ya kuongozea magari mjini Dodoma.(Mhe.Magufuli ambaye alipitia JKT Makutopora amewazawadia Shilingi laki tatu Baada ya kuvutiwa na burudani ya vikundi hivyo.
Ngoma
Kwaya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
RAIS DKT. SAMIA AKUTANA NA UJUMBE WA JUKWAA LA MABUNGE LA NCHI ZA MAZIWA MAKUU (FP-ICGLR) IKULU NDOGO TUNGUU, ZANZIBAR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Kiongozi wa Jukwaa la Mabunge la...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
Mwanamuziki toka Jamhuri ya KIdemokrasia ya Kongo, Mbilia Bel akitumbuiza katika viwanja vya bunge mjini Dodoma jana. Picha na Jube Tranquil...
-
(Picha na Yahya Charahani) Katika kijiji cha Mwanjoro, wilayani Meatu – Shinyanga, maisha bado yanapumulia kwenye nyumba za udongo na mapaa...
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
No comments:
Post a Comment