Thursday, July 03, 2014

RAIS KIKWETE AONANA NA MWANA MFALME WA JAPAN PRINCE AKISHINO NA MKEWE PRINCESS AKISHINO LEO IKULU, DAR ES SALAAM

J1
Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki  Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Akishino walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo July 3, 2014J2Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Mkurugenzi wa Idara ya Asia Bw. Mblewa Kairuki kwa Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Akishino walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo July 3, 2014
J3  Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazunzumzo na  Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Akishino walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo July 3, 2014J9 Jakaya Mrisho Kikwete akiwaonesha Simba waliotengenezwa Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Akishino walipomtembelea  jijini Dar es salaam leo July 3, 2014
J6
Jakaya Mrisho Kikwete akiwatembeza Ikulu Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Akishino walipomtembelea  jijini Dar es salaam leo July 3, 2014
J8
Jakaya Mrisho Kikwete kartika picha ya pamoja na Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Akishino walipomtembelea  jijini Dar es salaam leo July 3, 2014. Wengine ni WaZiri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe, Naibu WaZiri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Mahadhi, balozi wa Tanzania nchini japan Mhe Salome Sijaona na balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe Masaki Okada

No comments:

MAKATIBU WAKUU WAKAGUA AICC MAANDALIZI YA MWISHO MKUTANO WA IPU, ARUSHA

Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali pamoja na Kamati ya Wataalamu ya Maandalizi ya Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), wamefan...