


RAIS Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, wakinunua samaki katika kibanda, katika Kijiji cha Bweni, Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa maabara Shuke ya Sekondari Kipumbwi. Picha na Freddy Maro-IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki kama mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasa...
No comments:
Post a Comment