AIRTEL TANZANIA YALA FUTARI NA WATEJA WAKE DAR ES SALAAM MWISHONI MWA WIKI
- Get link
- X
- Other Apps
Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania,
Sunil Colaso
(wa pili kushoto) akiwakaribisha baadhi ya wateja wao
katika hafla ya futari
iliyoandaliwa na kampuni hiyo jijini
Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi
wa Mawasiliano
wa Airtel, Beatrice Singano Mallya.
Baadhi ya wateja wa kampuni ya simu za
mkononi ya
Airtel Tanzania wakichukua mlo wa futari iliyoandaliwa
na kampuni
hiyo jijini Dar es Salaamu juzi.
Wateja wa Airtel Tanzania wakichukua mlo
wa futari
iliyoandaliwa na kampuni hiyo jijini Dar se Salaam juzi.
Mhariri Mtendaji Mkuu wa Mwananchi
Communications,
Bakari Machumu (wa pili kulia) na Mkurugenzi Mtendaji
wa Airtel
Tanzania, Sunil Kolaso (kulia kwake)
wakichukua mlo wa futari iliyoandaliwa na Airtel kwa
wateja wake jijini Dar es
Salaam juzi.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Azam, Said
Salim Bakhresa
(wa pili kushoto),
akichukua mlo wa futari pamoja na
baadhi ya wateja wa Airtel katika
hafla iliyoandaliwa
na kampuni hiyo kwa wateja wake jijini Dar es Salaam juzi.
Baadhi ya wateja wa kampuni ya simu za
mkononi ya
Airtel Tanzania wakifuturu katika hafla iiliyoandaliwa
na kampuni
hiyo jijini Dar es Salaamu juzi.
Comments