cheki utani huu

Kuna huyu jamaa kaibuka na huu utani aisee eti kuna vyuo kumi vimefunguliwa maeneo
mbalimbali nchini, vikitoa kozi mbalimbali na kubeba majina ya watu maarufu
kama ifuatavyo:
- Benjamin Mkapa Institute of Political Entrepreneurship and Openness
- David Balali School of Central Banking and Foreign Debt Management
- Andrew Chenge College of Applied Contractual Law
- Ali Hassan Mwinyi University of Inflation Control
- Karamagi Institute of Mining Licensing and Administration of Mining
Contracts
- Zakia Meghji college of Tourism and Protection of Public Funds and
Natural Resources
- Ditopile Mzuzuri School of Conveyance and Welfare of Public Drivers
- Mwalimu Nyerere University College of Privatization
- Mkono Intitute of Legal Fraud Prevention
- Lowassa School of Prevention of Fake Companies

Na kwamba fomu za Kujiunga zinapatikana Bank M.

Comments

Anonymous said…
duh inachekesha sana vyuo vya mafisadi si mchezo.
Ms Bennett