Thursday, April 09, 2015

SELCOM WAZINDUA UKUSANYAJI WA KODI KWA NJIA ZA KIELEKTRONIC MANSIPAA YA MOROGORO

Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro Mohamed Lukwele kushoto akiwa na 
Meneja Ukuzaji Biashara na Masoko wa kampuni ya Selcom, Juma Mgori na 
Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta wakati wa uzinduzi wa 
mashine ya ukusanyaji wa kodi kwa njia za kielektronic mkoa wa Morogoro
Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta kushoto akimwelekezaKaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro Bakari Sagini jinsi ya kutumia 
 mashine ya ukusanyaji wa kodi kwa njia za kielektronic wakati wa uzinduzi rasmi wautumiaji wa mashine hizo kwa Manspaa ya Morogoro.
Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta kushoto akimwelekeza Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro Mohamed Lukwele jinsi ya kutumia 
 mashine ya ukusanyaji wa kodi kwa njia za kielektronic wakati wa uzinduzi rasmi wautumiaji wa mashine hizo kwa Manspaa ya Morogoro
Meneja Ukuzaji Biashara na Masoko wa kampuni ya Selcom, Juma Mgori katikati akitoa mahelezo ya mashine ya ukusanyaji wa kodi kwa njia za kielektronic wakati wa uzinduzi rasmi wautumiaji wa mashine hizo kwa mkoa wa Morogoro kulia ni Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro Mohamed Lukwele na  Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta

No comments:

RAIS SAMIA AWATUNUKU KAMISHENI MAAFISA WANAJESHI CHIPUKIZI TMA MONDULI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan , leo tarehe 22 Novemba 2025 , amehudhuria na ku...