Tuesday, March 16, 2010

Waziri Mkuu wa Finland ziarani bongo


Pinda na Waziri Mkuu wa Finland, Matti Vanhanen wakitazama ngoma baada ya mgeni huyo kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere kuendelea na ziara yake nchini iliyoanzia Arusha, Jumapili iliyopita. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri Mkuu wa Finland, Matti Vanhanen ambaye aliwasili kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere leo kuendelea na ziara yake nchini iliyoanzia Arusha Jumapili iliyopita (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

RAIS SAMIA ASHIRIKI NA KUTUNUKU TUZO ZA WASANII WA KOMEDI TANZANIA 2025

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki kama mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasa...