Friday, March 12, 2010
Shule ya Sekondari Milambo
Hebu angalia picha hii vizuri kabisa kwa mbali unaweza kuona 'Mzee wa Mshitu' katika picha ya juu wa kwanza kushoto na katika picha inayofuata wa pili kushoto, nyuma ya jengo unaweza kuona Jengo la sekondari ya Milambo. Hapa ama kweli ndo yalikuwa maeneo mzee wa mshitu alipopatia elimu yake ya O level kabla ya kuendelea zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
RAIS SAMIA AZINDUA TUME YA UCHUNGUZI KWA AJILI YA KUIMARISHA AMANI, HAKI NA UWAJIBIKAJI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Wajumbe wa Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusi...
-
Hapa mmoja wa watoto hao akiwa na kijana mwenzake mwenye miaka 18, wote wako sawa lakini yeye hawezi kuzungumza kama watu wa kawaida. Mama S...
-
Nadhani mtakumbuka kibwagizo maarufu katika TV ambacho kinaimbwa perupe pepero perupe pepero hawa ni vijana wa Sisi Tambala waliokuwapo kati...
-
Mdau Julius Samwel hivi karibuni alikuwa huko Mwanza na hizi ndizo alizofanikiwa kutumegea, wadau hebu someni hicho kibao mniambie kuna nini...


3 comments:
swaaadakta mzee Yatch.. hata hiyo bichkoma nimeiona pia. Salaam zako toka kwa Afande Chacha na Afande Peter...
Cheers frm USA...
hahahahah, nimecheka saana umenikumbusha msemo wa zamani mnooo, (bichkoma) aisee neno hili nilikuwa binafsi nimelisahau kabisa. Afande Chacha na Peter Majasho bwana sijui wako wapi wale watu skuli yetu bwana siku hizi imebadilika saana hakuna rikwata bwanaaa.
Yachi,hao jamaa mbona wanajichanganya?Hiyo ni picha ya Milambo,weka na ya kwetu Tabora Boys kwa afande Chacha,Peter Mkwala,Kenge,Sisalile,Maj Sendwa(sasa Lt Col).wako wapi kina Hamis Masoli,Lwaga Kizoka,Shabani Seleman na wengineo?
Kikapu umeacha siku hizi mzee?maana hata kwenye ma bonanza honekani
Post a Comment