


Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kishapu (CCM) Fred Mpendazoe akiwapungia mkono waandishi wa habari jana jijini Dar es salaam mara baada ya kutangaza nia yake ya kuondoka CCM na kujiunga na Chama cha Jamii(CCJ). Picha na Tiganya Vincent-Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki kama mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasa...
1 comment:
Haya maamuzi ya kweli watu wanafikiri kuwa ukihama ccm haopo dunia hayo mawazo potofu na wanashinyanga wasimuone mpendazoe ni mtu wa ajabu sio hivyo anavyone yeye ndio hivyo kama mnamkubali kama mbunge wenu mfuateni mtapata maendeleo.
Post a Comment